onionshare/docs/source/locale/sw/LC_MESSAGES/features.po

591 lines
27 KiB
Text

# SOME DESCRIPTIVE TITLE.
# Copyright (C) Micah Lee, et al.
# This file is distributed under the same license as the OnionShare package.
# FIRST AUTHOR <EMAIL@ADDRESS>, YEAR.
#
msgid ""
msgstr ""
"Project-Id-Version: OnionShare 2.5\n"
"Report-Msgid-Bugs-To: onionshare-dev@lists.riseup.net\n"
"POT-Creation-Date: 2022-01-17 10:28-0800\n"
"PO-Revision-Date: 2023-04-20 11:51+0000\n"
"Last-Translator: Zaituni Njovu <zaitunimbii@gmail.com>\n"
"Language-Team: none\n"
"Language: sw\n"
"MIME-Version: 1.0\n"
"Content-Type: text/plain; charset=UTF-8\n"
"Content-Transfer-Encoding: 8bit\n"
"Plural-Forms: nplurals=2; plural=n != 1;\n"
"X-Generator: Weblate 4.18-dev\n"
#: ../../source/features.rst:4
msgid "How OnionShare Works"
msgstr "Namna OnionShare inafanya kazi"
#: ../../source/features.rst:6
msgid ""
"Web servers are started locally on your computer and made accessible to "
"other people as `Tor <https://www.torproject.org/>`_ `onion services "
"<https://community.torproject.org/onion-services/>`_."
msgstr ""
"Seva za tovuti zinaanzaga ndani katika kompyuta yako na kufanya zinapatikana "
"kwa watu wengine kama `Tor <https://www.torproject.org/>`_ `onion services "
"<https://community.torproject.org/onion-services/>`_."
#: ../../source/features.rst:8
msgid "By default, OnionShare web addresses are protected with a private key."
msgstr ""
"Kwa asili yake, anwani za tofuti za OnionShare hulindwa na private key."
#: ../../source/features.rst:10
msgid "OnionShare addresses look something like this::"
msgstr "Anwani za OnionShare huonekana kama::"
#: ../../source/features.rst:14
msgid "And private keys might look something like this::"
msgstr "Na private keys zinafanana kama hivi::"
#: ../../source/features.rst:18
msgid ""
"You're responsible for securely sharing that URL and private key using a "
"communication channel of your choice like in an encrypted chat message, or "
"using something less secure like unencrypted email, depending on your "
"`threat model <https://ssd.eff.org/module/your-security-plan>`_."
msgstr ""
"Ni jukumu lako kusambaza URL katika hali ya usalama pamoja na private key "
"kwa kutumia njia ya mawasiliano uipendayo kama ujumbne wa maandishi "
"uliosimbwa, au kwa kutumia njia ambayo haina usalama sana kama barua pepe "
"isiyosimbwa, kwa kutegemea `hali ya tishio <https://ssd.eff.org/module/your-"
"security-plan>`_."
#: ../../source/features.rst:20
msgid ""
"The people you send the URL to then copy and paste it into their `Tor "
"Browser <https://www.torproject.org/>`_ to access the OnionShare service. "
"Tor Browser will then prompt for the private key, which the people can also "
"then copy and paste in."
msgstr ""
"Watu unaowatumia URL nakili na nakilisha katika`Tor Browser <https://www."
"torproject.org/>`_ ili kupata huduma ya OnionShare. Tor Browser kisha "
"itahitaji kwa lazima, ambayo watu pia wanaweza kunakili na kunakilisha."
#: ../../source/features.rst:24
msgid ""
"If you run OnionShare on your laptop to send someone files, and then suspend "
"it before the files are sent, the service will not be available until your "
"laptop is unsuspended and on the internet again. OnionShare works best when "
"working with people in real-time."
msgstr ""
"Kama unatumia OnionShare katika laptop yako kutuma mafaili kwa mtu, na kisha "
"mtandao ukapotea kabla mafaili hayajatumwa, huduma haitapatikana mpaka pale "
"laptop yako itakaporudi katika mtandao tena. OnionShare hufanya vizuri sana "
"inapofanya kazi na watu katikia muda halisi."
#: ../../source/features.rst:26
msgid ""
"Because your own computer is the web server, *no third party can access "
"anything that happens in OnionShare*, not even the developers of OnionShare. "
"It's completely private. And because OnionShare is based on Tor onion "
"services too, it also protects your anonymity. See the :doc:`security design "
"</security>` for more info."
msgstr ""
"Kwasababu kompyuta yako mwenyewe ndio seva ya tovuti, *hakuna mtumiaji "
"asiyehusika mojakwamoja anaweza kujua chochote kinachoendelkea katika "
"OnionShare pia hata watengenezaji wa OnionShare. Hii ni faragha halisi. Na "
"kwasababu OnionShare imejikita katika Tor onion services pia, Pia inalinda "
"kutojulikana kwako. Angalia`security design </security>` kwa taarifa zaidi."
#: ../../source/features.rst:29
msgid "Share Files"
msgstr "Sambaza Mafaila"
#: ../../source/features.rst:31
msgid ""
"You can use OnionShare to send files and folders to people securely and "
"anonymously. Open a share tab, drag in the files and folders you wish to "
"share, and click \"Start sharing\"."
msgstr ""
"Unaweza kutumia OnionShare kutuma mafaili na folda kwa watu kwa usalama na "
"kutojulikana. Fungua kurasa ya kusambaza, vuta katika mafaili faili na folda "
"ambayo unataka kusambaza, kisha bofya \"Start sharing\"."
#: ../../source/features.rst:35 ../../source/features.rst:112
msgid ""
"After you add files, you'll see some settings. Make sure you choose the "
"setting you're interested in before you start sharing."
msgstr ""
"Baada ya kuongeza mafaili, utatumia baadhi ya mipangilio. Hakikisha "
"unachagua mpangilio unaoupenda kabla ya kuanza kusambaza."
#: ../../source/features.rst:39
msgid ""
"As soon as someone finishes downloading your files, OnionShare will "
"automatically stop the server, removing the website from the internet. To "
"allow multiple people to download them, uncheck the \"Stop sharing after "
"files have been sent (uncheck to allow downloading individual files)\" box."
msgstr ""
"Mara baada ya kumaliza kupakua mafaili, OnionShare mojakwamoja itasitisha "
"seva, kuondoa tovuti katika mtandao. Kuruhusu watu wengi kuzipakua, ondoa "
"ukaguzi \"acha kusambaza baada ya mafaili kutumwa (ondoa ukaguzi kuruhusu "
"kupakua mafaili binafsi)\" ."
#: ../../source/features.rst:42
msgid ""
"Also, if you uncheck this box, people will be able to download the "
"individual files you share rather than a single compressed version of all "
"the files."
msgstr ""
"Pia, kama hutachagua sanduku hili, watu wataweza kupakua faili mojamoja "
"uliyosambaza kuliko toleo lililo punguzwa katika mafaili yote."
#: ../../source/features.rst:44
msgid ""
"When you're ready to share, click the \"Start sharing\" button. You can "
"always click \"Stop sharing\", or quit OnionShare, immediately taking the "
"website down. You can also click the \"↑\" icon in the top-right corner to "
"show the history and progress of people downloading files from you."
msgstr ""
"Utakapokuwa tayari kusambaza, bofya kitufe cha \"Start sharing\" . Kwa "
"kawaida unaweza kubofya \"Stop sharing\", au kutoka OnionShare, maramoja "
"itafanya tovuti kuwa chini. Pia unaweza kubofya alama ya \"↑\" juu upande wa "
"kulia kuonyeasha kumbukumbu na maendeleo ya watu wakipakua mafaili toka "
"kwako."
#: ../../source/features.rst:48
msgid ""
"Now that you have a OnionShare, copy the address and the private key and "
"send it to the person you want to receive the files. If the files need to "
"stay secure, or the person is otherwise exposed to danger, use an encrypted "
"messaging app."
msgstr ""
"Sasa una OnionShare, nakili anwani na private key kisha tuma kwa mtu "
"unayetaka apokee faili. Kama mafaili yanahitaji kuwa salama, au mtu "
"amejiweka katika hatari, tumia programu ya ujumbe wa maandishi uliosimbwa."
#: ../../source/features.rst:50
msgid ""
"That person then must load the address in Tor Browser. After logging in with "
"the private key, the files can be downloaded directly from your computer by "
"clicking the \"Download Files\" link in the corner."
msgstr ""
"Mtu anayehitaji anwani toka Tor Browser. Baada ya kuingia kwa kutumia "
"private key, faili linaweza kupakuliwa mojakwamoja kutoka kwenye kompyuta "
"kwa kubofya \"Download Files\" katika anwani katika kona."
#: ../../source/features.rst:55
msgid "Receive Files and Messages"
msgstr "Pokea mafaili na ujumbe wa maandishi"
#: ../../source/features.rst:57
msgid ""
"You can use OnionShare to let people anonymously submit files and messages "
"directly to your computer, essentially turning it into an anonymous dropbox. "
"Open a receive tab and choose the settings that you want."
msgstr ""
"Unaweza kutumia OnionShare kuwezesha watu kuwasilisha mafaili na ujumbe wa "
"maandishi bila mkujulikanamojakwamoja katika kompyuta yako, na kuipeleka "
"katika dropbox. Fungua kurasa ya kupokea na chagua mpangilio unaoutaka."
#: ../../source/features.rst:62
msgid ""
"You can browse for a folder to save messages and files that get submitted."
msgstr ""
"Unaweza kuperuzi kwa ajili ya folda ili kuhifadhi ujumbe wa maandishi na "
"mafaili ambayo yamewasilishwa."
#: ../../source/features.rst:64
msgid ""
"You can check \"Disable submitting text\" if want to only allow file "
"uploads, and you can check \"Disable uploading files\" if you want to only "
"allow submitting text messages, like for an anonymous contact form."
msgstr ""
"Unaweza chagua\"Disable submitting text\" kama unataka kuruhusu kupakia "
"mafaili tu, na unaweza chagua\"Disable uploading files\" kama unataka "
"kuruhusu kuwasilisha ujumbe wa maandishi, kama ilivyo ikitoka kwa "
"mawasiliano yasiyoijulikana."
#: ../../source/features.rst:66
msgid ""
"You can check \"Use notification webhook\" and then choose a webhook URL if "
"you want to be notified when someone submits files or messages to your "
"OnionShare service. If you use this feature, OnionShare will make an HTTP "
"POST request to this URL whenever someone submits files or messages. For "
"example, if you want to get an encrypted text messaging on the messaging app "
"`Keybase <https://keybase.io/>`_, you can start a conversation with "
"`@webhookbot <https://keybase.io/webhookbot>`_, type ``!webhook create "
"onionshare-alerts``, and it will respond with a URL. Use that as the "
"notification webhook URL. If someone uploads a file to your receive mode "
"service, @webhookbot will send you a message on Keybase letting you know as "
"soon as it happens."
msgstr ""
"Unaweza kuchagua \"Use notification webhook\" na kisha chagua webhook "
"URLkama unataka kupata taarifa kama mtu amewasilisha mafaili au ujumbe wa "
"maandishi katika huduma za OnionShare. Kama unataka kipengele hiki "
"OnionShare itafanyamaombi ya HTTP POST katika URLhii kila mtu anapowasilisha "
"mafaili na ujumbe wa maandishi. Kwa mfano, kama unataka kupata ujumbe wa "
"maandishi uliosimbwa katika programu tumizi ya ujumbe wa maandishi `Keybase "
"<https://keybase.io/>`_, unaweza majibizano na `@webhookbot <https://keybase."
"io/webhookbot>`_, type ``!webhook unda onionshare-alerts``, na itatoa majibu "
"kupitia URL. Tumia hiyo kama taarifa webhook URL. Kama mtu amepakia faili "
"katika huduma ya mfumo wako wa kupokea @webhookbot itatuma ujumbe wa "
"maandishi katika Keybase kukufahamisha mara baada ya kutokea."
#: ../../source/features.rst:71
msgid ""
"When you are ready, click \"Start Receive Mode\". This starts the OnionShare "
"service. Anyone loading this address in their Tor Browser will be able to "
"submit files and messages which get uploaded to your computer."
msgstr ""
"Ukiwa tayari, bofya \"Start Receive Mode\". Hii anza huduma za OnionShare. "
"Yeyote anayetaka anwani hizi katika Tor Browser zao wataweza kuwasilisha "
"mafaili na ujumbe wa maandishiambazo zimapakiwa katika kompyuta yako."
#: ../../source/features.rst:75
msgid ""
"You can also click the down \"↓\" icon in the top-right corner to show the "
"history and progress of people sending files to you."
msgstr ""
"Pia unaweza kubofya mshare wa chini \"↓\" kulia kona ya juu kuonyesha "
"historia na maendeleo ya watu wanaokutumia ujumbe wa maandishi."
#: ../../source/features.rst:77
msgid "Here is what it looks like for someone sending you files and messages."
msgstr ""
"Hivi ndivyo inavyoonekana kwa mtu anapokutumia mafaili na ujumbe wa "
"maandishi."
#: ../../source/features.rst:81
msgid ""
"When someone submits files or messages to your receive service, by default "
"they get saved to a folder called ``OnionShare`` in the home folder on your "
"computer, automatically organized into separate subfolders based on the time "
"that the files get uploaded."
msgstr ""
"Mtu anapowasilisha mafaili au ujumbe wa maandishi katika huduma yako ya "
"kupokea, kwa asili yake zinahifadhiwa katika folda linaloitwa ``OnionShare`` "
"katika folda ukurasa wa nyumbani katika kompyuta yako, mojakwamoja panga "
"katika mafolda madogo tofauti kulingana na muda ambao faili linasasishwa."
#: ../../source/features.rst:83
msgid ""
"Setting up an OnionShare receiving service is useful for journalists and "
"others needing to securely accept documents from anonymous sources. When "
"used in this way, OnionShare is sort of like a lightweight, simpler, not "
"quite as secure version of `SecureDrop <https://securedrop.org/>`_, the "
"whistleblower submission system."
msgstr ""
"Mpangilio katika OnionShare ya kupokea huduma inafaa sana kwa waandishi wa "
"habari na mahitaji mengine ya usalama wa kupokea katika vyanzo "
"visivyojulikana. Unapotumia kwa njia hii, OnionShare ni kama kubwa, rahisi, "
"sio salama sana kama toleo la`SecureDrop <https://securedrop.org/>`_, the "
"whistleblower mfumo wa uwasilishaji."
#: ../../source/features.rst:86
msgid "Use at your own risk"
msgstr "Tumia kwa kujitafutia hatari wewe mwenyewe"
#: ../../source/features.rst:88
msgid ""
"Just like with malicious email attachments, it's possible someone could try "
"to attack your computer by uploading a malicious file to your OnionShare "
"service. OnionShare does not add any safety mechanisms to protect your "
"system from malicious files."
msgstr ""
"Kama ilivyo kwa barua pepe zilizoambatanishwa na vitu visivyo saloama, "
"Inawezekana mtu anaweza kujaribu kuvamia kompyuta yakokwa kupakia mafaili "
"yasiyo salama katika huduma zako za OnionShare. Hatahivyo OnionShare "
"haiongezi namna yoyote ya usalama kulinda mfumo wako na mafaili yasiyo "
"salama."
#: ../../source/features.rst:90
msgid ""
"If you receive an Office document or a PDF through OnionShare, you can "
"convert these documents into PDFs that are safe to open using `Dangerzone "
"<https://dangerzone.rocks/>`_. You can also protect yourself when opening "
"untrusted documents by opening them in `Tails <https://tails.boum.org/>`_ or "
"in a `Qubes <https://qubes-os.org/>`_ disposableVM."
msgstr ""
"Kama umepokea nyaraka au kama PDF kupitia OnionShare, unaweza kubadili "
"nyaraka kwenda katika mfumo wa PDFs ambazo ni salama kufungua kwa "
"kutumia`Dangerzone <https://dangerzone.rocks/>`_. Pia unaweza kujilinda "
"ukiwa unafungua nyaraka zisizo aminika kwa kuzifungua katika `Tails <https://"
"tails.boum.org/>`_ or in a `Qubes <https://qubes-os.org/>`_ disposableVM."
#: ../../source/features.rst:92
msgid ""
"However, it is always safe to open text messages sent through OnionShare."
msgstr ""
"Hatahivyo, Kwa kawaida ni salama kufungua ujumbe wa maandishi uliotumwa "
"kupitia OnionShare."
#: ../../source/features.rst:95
msgid "Tips for running a receive service"
msgstr "Nondoo za kutumia huduma ya kupokea"
#: ../../source/features.rst:97
msgid ""
"If you want to host your own anonymous dropbox using OnionShare, it's "
"recommended you do so on a separate, dedicated computer always powered on "
"and connected to the internet, and not on the one you use on a regular basis."
msgstr ""
"Kama unataka kutunza dropbox yako mwenyewe isiyojulikana kwa kutumia "
"OnionShare, Inapendekezwa kufanya pekeyake kwa kutengenisha, Kompyuta "
"iliyokusudiwa kwa kawaida kuwashwa na kuunganishwa katika mtandao, na siyo "
"ile unayotumia katika matumizi ya kawaida."
#: ../../source/features.rst:99
msgid ""
"If you intend to put the OnionShare address on your website or social media "
"profiles, save the tab (see :ref:`save_tabs`) and run it as a public service "
"(see :ref:`turn_off_private_key`). It's also a good idea to give it a custom "
"title (see :ref:`custom_titles`)."
msgstr ""
"Kama umekusudia kuweka anwani za OnionShare katika tovuti yako au katika "
"utambulisho wa mitandao ya kijamii, hifadhi ukurasa (see :ref:`save_tabs`) "
"na uitumie kama huduma ya wazi (see :ref:`turn_off_private_key`). Ni wazo "
"zuri pia kipa jina lenye sifa zilizokusudiwa (see :ref:`custom_titles`)."
#: ../../source/features.rst:102
msgid "Host a Website"
msgstr "Simamia tovuti"
#: ../../source/features.rst:104
msgid ""
"To host a static HTML website with OnionShare, open a website tab, drag the "
"files and folders that make up the static content there, and click \"Start "
"sharing\" when you are ready."
msgstr ""
"Kusimamia HTML ya tovuti ya kudumu ukiwa na OnionShare, Fungua kurasa ya "
"tovuti, vuta mafaili na folda ambayo yanamaudhui ya kudumu, na kisha bofya "
"\"Start sharing\" utakapokuwa tayari."
#: ../../source/features.rst:108
msgid ""
"If you add an ``index.html`` file, it will render when someone loads your "
"website. You should also include any other HTML files, CSS files, JavaScript "
"files, and images that make up the website. (Note that OnionShare only "
"supports hosting *static* websites. It can't host websites that execute code "
"or use databases. So you can't for example use WordPress.)"
msgstr ""
"Kama utaongeza faili la ``index.html``, itajisambaza wakati mtu anafungua "
"tovuti yako. Pia unatakiwa kujumuisha mafaili ya HTML mengune yoyote, "
"mafaili ya CSS, mafaili ya JavaScript, na picha zinazotengeneza tovuti. "
"(Zingatia OnionShare husaidia tu usimamizi wa tovuti *zisizo badilika* . "
"Haiwezi kusimamia tovuti inayotumia database. Kwahiyo hutaweza kwa mfano "
"kutumia WordPress.)"
#: ../../source/features.rst:110
msgid ""
"If you don't have an ``index.html`` file, it will show a directory listing "
"instead, and people loading it can look through the files and download them."
msgstr ""
"Kama hauna faili la``index.html``, Itaonyesha orodha ya saraka badala yake, "
"na watu wanaotumia wanaweza kuonekana kwa kupitia mafaili na kuyapakua."
#: ../../source/features.rst:117
msgid "Content Security Policy"
msgstr "Sera ya ulinzi wa maudhui"
#: ../../source/features.rst:119
msgid ""
"By default OnionShare helps secure your website by setting a strict `Content "
"Security Policy <https://en.wikipedia.org/wiki/Content_Security_Policy>`_ "
"header. However, this prevents third-party content from loading inside the "
"web page."
msgstr ""
"Kwa asili yake OnionShare husaidia kulinda tovuti yako kwa kuweka `Sera ya "
"ulinzi wa maudhui <https://en.wikipedia.org/wiki/Content_Security_Policy>`_ "
"madhubuti. Hata hivyo, hii huzuia maudhui ya watu wasiohusika mojakwamoja "
"kuingia katika kurasa za tovuti."
#: ../../source/features.rst:121
msgid ""
"If you want to load content from third-party websites, like assets or "
"JavaScript libraries from CDNs, you have two options:"
msgstr ""
"Kama unataka kupata maudhui ya tovuti zisizo husika mojakwamoja, kama mali "
"au maktaba za kutoka CDNs, una machaguo mawili:"
#: ../../source/features.rst:123
msgid ""
"You can disable sending a Content Security Policy header by checking the "
"\"Don't send Content Security Policy header (allows your website to use "
"third-party resources)\" box before starting the service."
msgstr ""
"Unaweza kuzuia kutuma taarifa za Sera za Ulinzi wa Maudhui kwa kuchagua "
"kipengele cha \"Don't send Content Security Policy header (allows your "
"website to use third-party resources)\" kabla ya kuanza huduma."
#: ../../source/features.rst:124
msgid "You can send a custom Content Security Policy header."
msgstr "Unaweza kutuma taarifa zaSera ya Ulinzi wa Maudhui iliyoboreshwa."
#: ../../source/features.rst:127
msgid "Tips for running a website service"
msgstr "Dondoo za kusimamia huduma za tovuti"
#: ../../source/features.rst:129
msgid ""
"If you want to host a long-term website using OnionShare (meaning not just "
"to quickly show someone something), it's recommended you do it on a "
"separate, dedicated computer that is always powered on and connected to the "
"internet, and not on the one you use on a regular basis. Save the tab (see :"
"ref:`save_tabs`) so you can resume the website with the same address if you "
"close OnionShare and re-open it later."
msgstr ""
"Kama unataka kusimamia tovuti ya muda mrefu kwa kutumia OnionShare "
"(ikimaanisha siyo tu kuonyesha kitu haraka kwa mtu), Inapendekezwa ufanye "
"hivo tofauti, Kompyuta iliyolengwa ambayo kwa kawaida inawashwa na "
"kuunganishwa katika mtandao, na siyo katika ile unayotumia katika matumizi "
"yako ya kawaida.. Hifadhi kjurasa (see :ref:`save_tabs`) ili kuendeleza "
"tovuti na anwani ileile kama utafunga OnionShare na fungua tena baadae."
#: ../../source/features.rst:132
msgid ""
"If your website is intended for the public, you should run it as a public "
"service (see :ref:`turn_off_private_key`)."
msgstr ""
"Kama tovuti yako imelengwa kwa ajili ya umma, unatakiwa uiendeshe kama "
"huduma ya wazi kwa umma (Rejea:`turn_off_private_key`)."
#: ../../source/features.rst:135
msgid "Chat Anonymously"
msgstr "Chat bila kujulikana"
#: ../../source/features.rst:137
msgid ""
"You can use OnionShare to set up a private, secure chat room that doesn't "
"log anything. Just open a chat tab and click \"Start chat server\"."
msgstr ""
"Unaweza kutumia OnionShare kutengeneza alama za kipekee za utambuzi, chata "
"salama ambazo haitunzi kumbukumbu yoyote. Fungua kurasa ya chat kisha bofya "
"\"Start chat server\"."
#: ../../source/features.rst:141
msgid ""
"After you start the server, copy the OnionShare address and private key and "
"send them to the people you want in the anonymous chat room. If it's "
"important to limit exactly who can join, use an encrypted messaging app to "
"send out the OnionShare address and private key."
msgstr ""
"Baada ya kuanza kutumia seva, nakili anwani ya OnionShare na private key "
"kisha watumie watu unaowahitaji katika chat ya kutojulikana. Kama ni lazima "
"kuweka kikomo cha watakaojiunga, tumia programu tumizi ya ujumbe wa "
"maandishi uliosimbwa kutuma anwani ya OnionShare address na private key."
#: ../../source/features.rst:146
msgid ""
"People can join the chat room by loading its OnionShare address in Tor "
"Browser. The chat room requires JavasScript, so everyone who wants to "
"participate must have their Tor Browser security level set to \"Standard\" "
"or \"Safer\", instead of \"Safest\"."
msgstr ""
"Watu wanaweza kujiunga na chat kwa kutafuta anwani za OnionShare katika Tor "
"Browser. Sehemu ya inahitaji JavasScript, Kwahiyo kila anayetaka kushiriki "
"wanatakiwa kuwa na Tor Browser kiwango cha usalama kikiwa au \"Standard\" au"
"\"Safer\", badala ya \"Safest\"."
#: ../../source/features.rst:149
msgid ""
"When someone joins the chat room they get assigned a random name. They can "
"change their name by typing a new name in the box in the left panel and "
"pressing ↵. Since the chat history isn't saved anywhere, it doesn't get "
"displayed at all, even if others were already chatting in the room."
msgstr ""
"Mtu akijiunga na sehemu ya chat wanapatiwa majina yasiyo katika mpangilio. "
"Wanaweza kubadili majina yao kwa kuandika jina jipya katika kisanduku upande "
"wa kushoto na kubonyeza ↵. Sababu historia ya chat haijahifadhiwa popote, "
"haitaonekana kabisa, hata kam wengine walikuwa wana chat kabla."
#: ../../source/features.rst:155
msgid ""
"In an OnionShare chat room, everyone is anonymous. Anyone can change their "
"name to anything, and there is no way to confirm anyone's identity."
msgstr ""
"Katika chat za OnionShare, kila mtu hajulikani. Kila mmoja anaweza badili "
"jina lake kuwa vyovyote, na hakuna namna ya kuthibitisha utambulisho wa mtu "
"yoyote."
#: ../../source/features.rst:158
msgid ""
"However, if you create an OnionShare chat room and securely send the address "
"only to a small group of trusted friends using encrypted messages, you can "
"be reasonably confident the people joining the chat room are your friends."
msgstr ""
"Hatahivyo, kama umetengeneza chat ya OnionShare na kwa usalama umetuma "
"anwani kwa kundi dogo la marafiki unaowaamini kwa kutumia ujumbe wa "
"maandishi uliosimbwa, unaweza kuwa ujasiri wa uhakika kuwa wanaojiunga "
"katika chat ni marafiki zako."
#: ../../source/features.rst:161
msgid "How is this useful?"
msgstr "Kwanamna gani inafaa?"
#: ../../source/features.rst:163
msgid ""
"If you need to already be using an encrypted messaging app, what's the point "
"of an OnionShare chat room to begin with? It leaves less traces."
msgstr ""
"Kama umekwisha wahi tumia programu tumizi ya ujumbe wa maandishi uliosimbwa, "
"nafasi ya maswali ya sababu ya kwanini kuwa na chat ya OnionShare inakuwa "
"ndogo sana."
#: ../../source/features.rst:165
msgid ""
"If you for example send a message to a Signal group, a copy of your message "
"ends up on each device (the smartphones, and computers if they set up Signal "
"Desktop) of each member of the group. Even if disappearing messages is "
"turned on, it's hard to confirm all copies of the messages are actually "
"deleted from all devices, and from any other places (like notifications "
"databases) they may have been saved to. OnionShare chat rooms don't store "
"any messages anywhere, so the problem is reduced to a minimum."
msgstr ""
"Kwa mfano ukituma ujumbe wa maandishi kwenda katika kundi la Signal, nakala "
"ya ujumbe wako wa maandishi inaishia katika kila kifaa (simu janja, and "
"kompyuta hutengeneza Signal ya Desktop) kwa kila mshirika wa kundi. Hata "
"kama ni ujumbe wa kupotea baada ya kusomwa umewezeshwa, Ni ngumu kuhakiki "
"kama nakala zote za ujumbe zimefutika katika vifaa wanavyotumia, na katika "
"sehemu nyingine yoyote, (kama katika database ya taarifa) zinaweza kuwa "
"zimehifadhiwa. Chat za OnionShare haziifadhi ujumbe wowote mahali popote, "
"kwahiyo tatizo linakuwa limepungua pakubwa."
#: ../../source/features.rst:168
msgid ""
"OnionShare chat rooms can also be useful for people wanting to chat "
"anonymously and securely with someone without needing to create any "
"accounts. For example, a source can send an OnionShare address to a "
"journalist using a disposable email address, and then wait for the "
"journalist to join the chat room, all without compromosing their anonymity."
msgstr ""
"Chat za OnionShare zinaweza kufaa sana kwa watu kwa watu wanaosubiri chat "
"bila kujulikana na salama kwa mtu bila ya kuhitaji kutengeneza akaunti. Kwa "
"mfano, mtu anaweza kutuma anwani ya OnionShare kwa waandishi wa habari kwa "
"kutumia barua pepe isiyodumu, na kisha kusubiri mwandishi wa habari kujiunga "
"na chat, wote bila ya kujuana na kujulikana."
#: ../../source/features.rst:172
msgid "How does the encryption work?"
msgstr "Usimbwaji unafanya kazi kwa namna gani?"
#: ../../source/features.rst:174
msgid ""
"Because OnionShare relies on Tor onion services, connections between the Tor "
"Browser and OnionShare are all end-to-end encrypted (E2EE). When someone "
"posts a message to an OnionShare chat room, they send it to the server "
"through the E2EE onion connection, which then sends it to all other members "
"of the chat room using WebSockets, through their E2EE onion connections."
msgstr ""
"Sababu OnionShare hutegemea Tor onion services, mawasiliano kati ya Tor "
"Browser na OnionShare yote yamesimbwa kati ya watumiaji wawili tu(E2EE). Mtu "
"akituma ujumbe wa maandishi katika chati ya OnionShaare, wanatuma katika "
"seva kupitiamawasiliano ya E2EE onion, ambayo kisha hutuma kwa washirika "
"wengine wote katika chat kwa kutumia WebSockets, kupitia mawasiliano yao ya "
"E2EE onion."
#: ../../source/features.rst:176
msgid ""
"OnionShare doesn't implement any chat encryption on its own. It relies on "
"the Tor onion service's encryption instead."
msgstr ""
"OnionShare haifanyi usimbwaji wowote wa chat encryption yenyewe. Badala yake "
"hutegemea usimbwaji wa Tor onion service's."